Bila shaka mpaka hapa umebadilisha kauli Mkuu.Hawa Esparance hawajielewi kabisa
Sijui ni niniHiyo ndio imeisha hivyo. Timu iliacha kumiliki mpira
Una kioja weweHeeee. Maiti kashindwa kupiga chafya. Lol. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
LolStrategy
Mambo magumu
Tena magumu haswa.Mambo magumu
Maiti imerudi usingizi w mauti ๐ ๐Ndo kusema maiti leo inapiga chafya ama? ๐
Kuna faulo hapo inajaa kambaniUkiwa na akili timamu hauwezi kuwa na matumani ha hii timu๐ฎ
Yaaani. ๐ ๐ ๐Maiti imerudi usingizi w mauti ๐ ๐
Mtani mmefikia huku. ๐ ๐Kuna faulo hapo inajaa kambani