FT: CAF Champions League: Raja Casablanca 5-0 Vipers

FT: CAF Champions League: Raja Casablanca 5-0 Vipers

Daah yani watu wanashanglia East Africa tunavyozalilika
Acha wapigwe,wangemtoa Manzoki kwa Simba alafu Manzoki akiwa Simba akawagonga magoli ya kutosha hao North Africa faida si ingebaki huku ukanda wetu.

wakambania mwisho wa siku wakampeleka China kwenye kung-fu akavunjwa vunwja miguu huko na mabeki wa ki Jet Lee.
 
Back
Top Bottom