FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

Haikua yanga ,ila ni Simba na Ismailia ya misri.
 
Una kitu Mac usikilizwe
 
sio yanga, ni simba dhidi ya timu ya misri (sikumbuki vizuri kama ilikua ni zamaleki au ismaely)....... ngoma ilipigwa dimba la uhuru, half time haijafika simba wanaongoza 2-0 immanuel gabriel alitakata vibaya sana siku ile,

kesho yake simba alishinda 1-0, akaenda kutolewa misri,................
 
Utopolo haijawahi kufunga mwarabu goli 3
 
Hapana Mechi ilikua ya Simba na Ismailia pale shamba la bibi, Simba wakaleta mvua, wakawa wanaupiga mwingi hatari Joseph Kaniki striker wa Simba akawa anabetua mpira anatandika mashuti.
Mpaka mpira unasimamishwa kutokana na maji kujaa uwanjani Simba walikua wakiongoza 2-0.
Mvua ilikua ikiendelea kunyesha mwamuzi aka maliza mpira, Ngoma ika anza upya Siku ya pili.
Simba wakafanikiwa kushinda 1-0 na kutolewa kwenye mashindano.
 
We nae unajikuta unawajua sana Wydad kuliko wote humu jukwaani, unaonekana juha tu.

Tulia uangalie mpira, punguza POLIMILAI, kama jinsi ambavyo Zungu aliwashauri.
Anakeraaa walivyofungwa karudi kubadili mada
 
Moshi mwingi janja ya mashabiki wa wydad kuwasha smoke bombs ili game iahirishwe, wamestukiwa na lazima watapigwa faini na CAF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…