lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Haikua yanga ,ila ni Simba na Ismailia ya misri.Hii mvua imenikumbusha miaka ya nyuma sikumbukii vizuri yanga alicheza na waarabu yanga akawa amewafunga waarabu kama sikosei goli kama 3
Mechi Ili sitishwa Kwa ajili ya mvua............
Mechi ikachezea siku iliyo fuata na yanga wakapoteza.....
Wenye kumbu kumbu ana weza ku share.....
Mfano mvua inge endelea kiasi Cha KUSHINDWA KUENDELEA....
Mfano,
Ingetakiwa ihairishwe mpka siku inayo fuata watamalizia muda ulio Baki au wana Anza upya......
Naombeni ufafanuzi....