FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

#DimaWydad [emoji736]

Nawaona Wydad wakicheza kwa tahadhari na kuwaachia Simba waucheze mpira

Huku Wydad akitumia Chance chache atakazopata kupata matokeo Chanya
 
Eid itaenda vizuri sana leo, mpaka hapo mechi ya simba itakapoanza. Taifa litaaibishwa sana!
 
Simba ama watapata ushindi wa bao moja-bila au watatoka droo. Wydad siyo Horoya
 
Leo ni bakora tatu bila majibu Simba itapokea jua kama lote uchawi umedunda!! Labda Simba iendelee na Dili zake za kuvizia timu pinzani hawajajipanga na kuanzisha mpira bila filimbi ya mwamuzi!!

Refa Wa Leo ni mwanaume!! bahasha haipokelewi!

Makolo mtamkoma Leo mmetaka ukubwa msio nao huzuni inarudi upya Leo ushindi wa kuivizia Yanga Leo hatutazungumza tena stori kubwa itakuwa ni jinsi waarabu wanavyopiga soka la kitabuni na magoli watakayoipiga Simba kwa Mkapa!

Naitakia Yanga ushindi huko Naija!
 
Back
Top Bottom