Leo ni bakora tatu bila majibu Simba itapokea jua kama lote uchawi umedunda!! Labda Simba iendelee na Dili zake za kuvizia timu pinzani hawajajipanga na kuanzisha mpira bila filimbi ya mwamuzi!!
Refa Wa Leo ni mwanaume!! bahasha haipokelewi!
Makolo mtamkoma Leo mmetaka ukubwa msio nao huzuni inarudi upya Leo ushindi wa kuivizia Yanga Leo hatutazungumza tena stori kubwa itakuwa ni jinsi waarabu wanavyopiga soka la kitabuni na magoli watakayoipiga Simba kwa Mkapa!
Naitakia Yanga ushindi huko Naija!