FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

Attachments

  • Screenshot_20230422-175802.jpg
    Screenshot_20230422-175802.jpg
    73.4 KB · Views: 3
Hakuna timu naipenda hapa Afrika kama Wydad Casablanca [emoji16]
 
Kwa wanaoifahamu wydad, huu ndo mfumo wao wa siku zote au wanatuogopa? Wamejazana nyuma kama wanacheza na Real Madrid
Screenshot_20230422-153052.jpg
 
Kwa Hali hii Bora kakolanya Aondoke hata kesho.
Ni kweli wanamdhalilisha kwa hili wanalofanya ila pia ni tahadhari yenye kuzingatia uhalisia. Kuna wanasiasa wanaosapoti upande wa pili wana pesa chafu na wanajulikana ni wahuni, hawana maadili. Huwezi kujua wanaweza fanya nini kuihujumu Simba.
 
Haya sasa niliwaambia watu leo Putin lazima adondoke kwenye line ups wakanibishia
 
Mpaka kufika saa kumi na mbili jioni makolo fc watakuwa wameshajua mbivu na mbichi . Kikubwa uzalendo muhimu japo haitasaidia kuepuka mvua ya goli tano
 
Back
Top Bottom