Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Ntiba tangu mechi ya Yanga anakosa utulivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi zote za CAFCL na kwenye ligi hajawahi kuwa na utulivu, ukiachana na zile mechi mbili mbili baada ya kuwa ametua Simba Sc.Ntiba tangu mechi ya Yanga anakosa utulivu
True kipindi nacheza mpira nilikuaga na Sharp mind....maamuz chap chap na ya uhakika....Huyu huwa anaua sana moves, anastahili kutokea benchi.
Kocha amtoe saido...anatuharibia moves zetu za kushambulia
Nilisema kabla hata mechi haijaanza kwakua nimeshamsoma sana huyo jamaa, unless Phiri asiwe vizuri kimwili ila anastahili kuwa anaanza kuliko Saidoo.Kocha amtoe saido...anatuharibia moves zetu za kushambulia