FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

Kocha amtoe saido...anatuharibia moves zetu za kushambulia
Nilisema kabla hata mechi haijaanza kwakua nimeshamsoma sana huyo jamaa, unless Phiri asiwe vizuri kimwili ila anastahili kuwa anaanza kuliko Saidoo.

Au wanamuogopa kwasababu ya umri? Hii game inatakiwa walau tutoke na goal tatu, kwa upuuzi wa huyo jamaa sidhani kama kuna kitu cha maana tutafanya.
 
Back
Top Bottom