FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

Wakati mwingine fans tuwe tunasikilizwa. Saido ameicost Simba mechi nyingi sana. Leo kuna moves mbili zilikuwa nafasi nzuri za goli kapoteza. Ni kama ametumwa bwana, yaani 90% ya touch zake anapotezaga mipira.
 
Hii mvua imenikumbusha miaka ya nyuma sikumbukii vizuri yanga alicheza na waarabu yanga akawa amewafunga waarabu kama sikosei goli kama 3
Mechi Ili sitishwa Kwa ajili ya mvua............
Mechi ikachezea siku iliyo fuata na yanga wakapoteza.....

Wenye kumbu kumbu ana weza ku share...
Yanga alifungwa na simba pia mvua. Hawa kima tu... Hawashindi mpaka mvua inyeshe
 
Kipindi cha pili Raja wanakuwa wabaya sana ,Simba wasiruhusu wasogelee lango .

Waharabu dk 16 za mwanzo ndio anakuaga hatari... mpaka sasa kapoa hivyo anapotea zaidi huyoo mwarabu amini ivyo
 
Tahadhari ni muhimu sana lakini pia kutopoteza mipirahovyo na kutopoteza nafasi za kufunga maana tunahitaji magoli ya kutosha
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mpira wa Raja na Wydad. Wydad hawako vizuri mbele kwenye ufungaji, wachezaji wa Simba wamefanya makosa mengi sana yaliyopelekea kuadhibiwa.
 
Back
Top Bottom