Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Hakuna kitu kama hicho. Simba anatakiwa kushinda kuanzia 2-0 na kuendelea.Second half mrudi kupaki bus kwa usalama wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu kama hicho. Simba anatakiwa kushinda kuanzia 2-0 na kuendelea.Second half mrudi kupaki bus kwa usalama wenu
Yanga alifungwa na simba pia mvua. Hawa kima tu... Hawashindi mpaka mvua inyesheHii mvua imenikumbusha miaka ya nyuma sikumbukii vizuri yanga alicheza na waarabu yanga akawa amewafunga waarabu kama sikosei goli kama 3
Mechi Ili sitishwa Kwa ajili ya mvua............
Mechi ikachezea siku iliyo fuata na yanga wakapoteza.....
Wenye kumbu kumbu ana weza ku share...
Ngoja nikutumie ya PEPE Guadiola mneneMwenye namba ya kocha tafadhaliii
Kipindi cha pili Raja wanakuwa wabaya sana ,Simba wasiruhusu wasogelee lango .
wamoroco walishasema wao sio waafrica other wise itakua ni kujipendekeza😂😅Hata Simba akishinda hakuna baya mimi ni Mtanzania na Raja akishinda haina baya ni waafrica wenzangu.
Tuliza hofu mkuu hii ni wydad sio RajaKipindi cha pili Raja wanakuwa wabaya sana ,Simba wasiruhusu wasogelee lango .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kipindi cha pili Raja wanakuwa wabaya sana ,Simba wasiruhusu wasogelee lango .
Sio Raja ni Wydad CasablancaKipindi cha pili Raja wanakuwa wabaya sana ,Simba wasiruhusu wasogelee lango .
Wanga wa kitopolo bila shaka ... Ukungu umetokea upande wanapokaa UtopolosWanga wameleta ukungu
View attachment 2596312
Aibu naona Mimi [emoji16]Unaangalia mpira gani wewe?[emoji23]
Mm nasubiri aingie abdulrazeq aldahr. Mechi imeisha hii 😂Kocha wa Waydad amuingize Abuu Bardizbah At Tirkit.