FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

Anatakiwa akacheze Kwa Nguvu hii hii

Kama akiweza kumantain hilo yaani akienda kucheza mpira Aache kulinda kwa sababu hana cha kupoteza hiyo game ; ushindani utakuwa mzuri .

Simba aweke mpira chini na Wydad aweke mpira chini wakimbizane, wanaweza kwenda hata kwenye matuta au Simba akaenda kwa faida ya goli la ugenini endapo atashinda hata moja
 
Kwa mbinu za huyu kocha, kama hakutakuwa na makosa ya kijinga kwenye backline yetu kama ilivyokuwa ile game yetu ya ugenini dhidi ya Raja, Simba Sc anaweza kuwa na faida.

Tatizo ni kwamba Onyango haaminiki kabisa, leo atacheza vizuri kisha kesho anaharibu.
 
Simba forever
Simba nguvu moja
Umepewa mpinzani mgumu
Umemkanda na umemkosa kosa mabao mengi it means unammudu...
Hata kwao inawezekana.....
Nusu fainali inawezekana...
Knock out stage huwa wanaangalia nani anasonga mbele.

Hawa wenzetu mpaka unaona wanachukuwa ubingwa wanajuwa approach ya hizi game home and away zinachezaje.

Kinachokwenda kutokea Casablanca hutoamini kama ndio hawa waliocheza leo au mmebadirishiwa timu?
 
Man of the match,ni PUTIN[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kiukweli leo tumekosa mabao 3 ya wazi kabisaa, pale mbele pana uchoyoo wa kupeana nafasi, kila mtu analazimisha kufunga, huyu baleke ashaanza nae tabia za ntibanzokizaa, aambiwe ukweli mapemaaa kabla tabia haijawa kubwa zaidi.

Ila bas tulipofikia tumestahili na inatoshaaa.
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Kwa mbinu za huyu kocha, kama hakutakuwa na makosa ya kijinga kwenye backline yetu kama ilivyokuwa ile game yetu ya ugenini dhidi ya Raja, Simba Sc anaweza kuwa na faida.

Tatizo ni kwamba Onyango haaminiki kabisa, leo atacheza vizuri kisha kesho anaharibu.

Hta Huyu kipa aanbiwe, Mambo ya kutema mipira aache; wakimjua watakuwa wanakuja wawili wawili mmoja anapiga shuti mwingine anaenda kumalizia
 
Heshima kubwaaaaaa itabaki kwny historia...
Heshima inayobakia kwenye historia ni ile ya kufuzu hatua inayofuata ya nusu fainali. Ila siyo hiyo ya kumfunga Wydad! Maana na yenyewe ni timu tu kama simba.
 
Knock out stage huwa wanaangalia nani anasonga mbele.

Hawa wenzetu mpaka unaona wanachukuwa ubingwa wanajuwa approach ya hizi game home and away zinachezaje.

Kinachokwenda kutokea Casablanca hutoamini kama ndio hawa waliocheza leo au mmebadirishiwa timu?
Woti evaaaaaa
Kuna lolote laweza tokea tukiamua kupaki basi imeisha hiyoo...
Watajutia kosa lao
 
Hii mvua imenikumbusha miaka ya nyuma sikumbukii vizuri yanga alicheza na waarabu yanga akawa amewafunga waarabu kama sikosei goli kama 3
Mechi Ili sitishwa Kwa ajili ya mvua............
Mechi ikachezea siku iliyo fuata na yanga wakapoteza.....

Wenye kumbu kumbu ana weza ku share.....

Mfano mvua inge endelea kiasi Cha KUSHINDWA KUENDELEA....
Mfano,
Ingetakiwa ihairishwe mpka siku inayo fuata watamalizia muda ulio Baki au wana Anza upya......
Naombeni ufafanuzi....
Simba Vs Al Ismailia, 2-0 ikasimamishwa na iliporejewa 1-0
 
Back
Top Bottom