Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makolokolo mmetushika pabaya sana Wana Yanga, mmeupiga mwingi na mlikua mnastahili kushinda, hongereni Watani.Heshima kubwaaaaaa itabaki kwny historia...
Chukua kopo wahi maliwatoni haya ya huku ya kiumeni huyaweziDah! Fikiria sasa kama ndiyo matokeo yangekuwa ni sare, au mkafungwa! Hizi hasira zingekuwaje!!
Inawezekana kuna ambaye leo amepata kadi ya pili kwa hiyo akipata nyingine moja atakuwa kwenye risk ya kumiss nusu fainali.Kivipi mkuu,kadi za njano mbaka ziwe 3 ndio risk
Anatakiwa akacheze Kwa Nguvu hii hii
Duh!..🙄🙄Imagine 'kamoja' na hii baridi..!!😂😂
Knock out stage huwa wanaangalia nani anasonga mbele.Simba forever
Simba nguvu moja
Umepewa mpinzani mgumu
Umemkanda na umemkosa kosa mabao mengi it means unammudu...
Hata kwao inawezekana.....
Nusu fainali inawezekana...
hUo muda ulitakiwa unakatika viuno uko bize unashangaa mkandaji wako akifanya makubwaSsa 4 uku ni saa 7 usiku yani ni tunaamka mtu kasha kufa za kutosha
Waoooh mr utopolo...pokea maua yako kwa kukubali...Makolokolo mmetushika pabaya sana Wana Yanga, mmeupiga mwingi na mlikua mnastahili kushinda, hongereni Watani.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwa mbinu za huyu kocha, kama hakutakuwa na makosa ya kijinga kwenye backline yetu kama ilivyokuwa ile game yetu ya ugenini dhidi ya Raja, Simba Sc anaweza kuwa na faida.
Tatizo ni kwamba Onyango haaminiki kabisa, leo atacheza vizuri kisha kesho anaharibu.
Heshima inayobakia kwenye historia ni ile ya kufuzu hatua inayofuata ya nusu fainali. Ila siyo hiyo ya kumfunga Wydad! Maana na yenyewe ni timu tu kama simba.Heshima kubwaaaaaa itabaki kwny historia...
Woti evaaaaaaKnock out stage huwa wanaangalia nani anasonga mbele.
Hawa wenzetu mpaka unaona wanachukuwa ubingwa wanajuwa approach ya hizi game home and away zinachezaje.
Kinachokwenda kutokea Casablanca hutoamini kama ndio hawa waliocheza leo au mmebadirishiwa timu?
Simba Vs Al Ismailia, 2-0 ikasimamishwa na iliporejewa 1-0Hii mvua imenikumbusha miaka ya nyuma sikumbukii vizuri yanga alicheza na waarabu yanga akawa amewafunga waarabu kama sikosei goli kama 3
Mechi Ili sitishwa Kwa ajili ya mvua............
Mechi ikachezea siku iliyo fuata na yanga wakapoteza.....
Wenye kumbu kumbu ana weza ku share.....
Mfano mvua inge endelea kiasi Cha KUSHINDWA KUENDELEA....
Mfano,
Ingetakiwa ihairishwe mpka siku inayo fuata watamalizia muda ulio Baki au wana Anza upya......
Naombeni ufafanuzi....
Kumbeee...tusubiri ijumaaHeshima inayobakia kwenye historia ni ile ya kufuzu hatua inayofuata ya nusu fainali. Ila siyo hiyo ya kumfunga Wydad! Maana na yenyewe ni yimu tu kama simba.
Ila wewe dah😀Imagine 'kamoja' na hii baridi..!!😂😂
Subiri Manura ampige spanaAlly Salim ni kipa