FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

FT: CAF Champions League: Simba SC 1-0 Wydad AC.. Mkapa Stadium.. Dar.. 22.4.2023

Hta Huyu kipa aanbiwe, Mambo ya kutema mipira aache; wakimjua watakuwa wanakuja wawili wawili mmoja anapiga shuti mwingine anaenda kumalizia
Bora wee pia umeliona hili, kuna mtu nimemuambia hivyo, huyu salim awe ana daka, au km kutema, atemee nje, yeye anatemea ndani ukidunda mtu anainua juu inakua kambaaa.

Duuuuuh
 
Ssa 4 uku ni saa 7 usiku yani ni tunaamka mtu kasha kufa za kutosha
Hiyo SAA unayoiona ni kwa saa za hapo ulipo sio huko kunakochezwa gemu.
Maana yake Kama upo EA umeona 22:00 hiyo toa 2 inakuwa 20:00
Ni sawa na saa 2 kamili usiku.
 
Knock out stage huwa wanaangalia nani anasonga mbele.

Hawa wenzetu mpaka unaona wanachukuwa ubingwa wanajuwa approach ya hizi game home and away zinachezaje.

Kinachokwenda kutokea Casablanca hutoamini kama ndio hawa waliocheza leo au mmebadirishiwa timu?
ASIPUUZWE KABISA HUYU ANA HOJA [emoji116]

Knock out stage huwa wanaangalia nani anasonga mbele.

Hawa wenzetu mpaka unaona wanachukuwa ubingwa wanajuwa approach ya hizi game home and away zinachezaje.

Kinachokwenda kutokea Casablanca hutoamini kama ndio hawa waliocheza leo au mmebadirishiwa timu?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Knock out stage huwa wanaangalia nani anasonga mbele.

Hawa wenzetu mpaka unaona wanachukuwa ubingwa wanajuwa approach ya hizi game home and away zinachezaje.

Kinachokwenda kutokea Casablanca hutoamini kama ndio hawa waliocheza leo au mmebadirishiwa timu?

Nakubaliana na Wewe ; ila Simba akitoa uoga na akaenda kuweka mpira chini maisha yatakuwa magumu KWA PANDE ZOTE

Shida wakienda na mentality kuwa mcheza kwao hutunzwa basi atakufa

Wafanye kama Raja ..... principal yao ni moja . Matokeo ni yanapatikana popote....

waliawaambia Simba kuwa Sisi tunajua nyie ni wazuri ila tunawaomba muweke mpira chini na Sisi tuweke mpira chini kisha mmbora wetu apate matokeo

Kilichotokea Taifa tulikiona

The same token , Ahly nae kaambiwa hivo hivo , nyie ni bora ila tuweke mpira chini kisha mmbora watu apate matokeo

Leo ndio leo huko CAIRO
 
Sakho na Chama waache ujinga...nafasi waoizozipata ingekuwa baleke tungekuwa tunahesabu goli 3 sasa hv
 
Bora wee pia umeliona hili, kuna mtu nimemuambia hivyo, huyu salim awe ana daka, au km kutema, atemee nje, yeye anatemea ndani ukidunda mtu anainua juu inakua kambaaa.

Duuuuuh
Hayo ni madhara ya kutegemea kipa mmoja, akiumia ndio inakuwa issue.

Huyo kipa amepata lini uzoefu wakati anakalia benchi? Na Manura akipona huyo anarudi benchi.
 
Kuna dalili kubwa sana za kutoboa nusu fainali. Kule kwao tutawapangia kikosi cha 5-4-1. (1. Ally, 2. Kennedy Juma, 3. Hussein, 4. Onyango, 5. Inonga, 6. Israel 7. Kapombe 8. Nyoni 9. Kibu, 10. Mzamiru 11. Kanoute)
 
Kuna dalili kubwa sana za kutoboa nusu fainali. Kule kwao tutawapangia kikosi cha 5-4-1. (1. Ally, 2. Kennedy Juma, 3. Hussein, 4. Onyango, 5. Inonga, 6. Israel 7. Kapombe 8. Nyoni 9. Baleke, 10. Mzamiru 11. Kanoute)
Kwa hali hii inabidi na kocha Juma Mgunda naye aingie kucheza, ili kuhakikisha hakuna goli linalopatikana siku hiyo.
 
Back
Top Bottom