Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Kwamba hakikutoshi au unataka kumaanisha nini wewe Pisi Kali? [emoji16]Imagine 'kamoja' na hii baridi..!![emoji23][emoji23]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba hakikutoshi au unataka kumaanisha nini wewe Pisi Kali? [emoji16]Imagine 'kamoja' na hii baridi..!![emoji23][emoji23]
Wameingiza kila zana kama Urusi tuKama wydad ndio hawa mbona tunawaweza kabisa ,labda wawe wameficha wachezaji wao
Bora wee pia umeliona hili, kuna mtu nimemuambia hivyo, huyu salim awe ana daka, au km kutema, atemee nje, yeye anatemea ndani ukidunda mtu anainua juu inakua kambaaa.Hta Huyu kipa aanbiwe, Mambo ya kutema mipira aache; wakimjua watakuwa wanakuja wawili wawili mmoja anapiga shuti mwingine anaenda kumalizia
Huwezi kupaki basi kwenye mafuriko waulize Udart watakwambia.Woti evaaaaaa
Kuna lolote laweza tokea tukiamua kupaki basi imeisha hiyoo...
Watajutia kosa lao
Usije ukamshauri Robertinho kwenda kupaki basi kwa Waarabu! Watawafunga goli 10-0! Dawa ya Waarabu ni kushambulia, na kujilinda kwa wakati mmoja.Woti evaaaaaa
Kuna lolote laweza tokea tukiamua kupaki basi imeisha hiyoo...
Watajutia kosa lao
Chama huwa mechi kubwa hafanyi vizuriChama na saidoo wamechoka kocha fanya mabadiliko
Tusiwaogope sana, tukienda kule kwa kuogopa au kujiamini twadungwa, twatakiwa kuwa kati tuheshimianeWaarabu hawachezi mpira tuwafunge nyingi, tukienda kwao hawa....
Hiyo SAA unayoiona ni kwa saa za hapo ulipo sio huko kunakochezwa gemu.Ssa 4 uku ni saa 7 usiku yani ni tunaamka mtu kasha kufa za kutosha
ASIPUUZWE KABISA HUYU ANA HOJA [emoji116]Knock out stage huwa wanaangalia nani anasonga mbele.
Hawa wenzetu mpaka unaona wanachukuwa ubingwa wanajuwa approach ya hizi game home and away zinachezaje.
Kinachokwenda kutokea Casablanca hutoamini kama ndio hawa waliocheza leo au mmebadirishiwa timu?
Knock out stage huwa wanaangalia nani anasonga mbele.
Hawa wenzetu mpaka unaona wanachukuwa ubingwa wanajuwa approach ya hizi game home and away zinachezaje.
Kinachokwenda kutokea Casablanca hutoamini kama ndio hawa waliocheza leo au mmebadirishiwa timu?
Hayo ni madhara ya kutegemea kipa mmoja, akiumia ndio inakuwa issue.Bora wee pia umeliona hili, kuna mtu nimemuambia hivyo, huyu salim awe ana daka, au km kutema, atemee nje, yeye anatemea ndani ukidunda mtu anainua juu inakua kambaaa.
Duuuuuh
Ebu nitake radhi bhana, Dume zima unanipaje maua nakati unapaswa unipe ile tunu pendwa (...................) [emoji848][emoji38]Waoooh mr utopolo...pokea maua yako kwa kukubali...
Hii sio mechi ya pointKwani si yenu mmeshinda au yenu ilikuwa mfungwe ?
Si wewe tu bali hata mieDaaah Kibu anakuja kuni prove wrong
Kwamba wana uhakika wa kesho?Hawa Waarabu plan yao sio kushinda hii mechi.
Kwa hali hii inabidi na kocha Juma Mgunda naye aingie kucheza, ili kuhakikisha hakuna goli linalopatikana siku hiyo.Kuna dalili kubwa sana za kutoboa nusu fainali. Kule kwao tutawapangia kikosi cha 5-4-1. (1. Ally, 2. Kennedy Juma, 3. Hussein, 4. Onyango, 5. Inonga, 6. Israel 7. Kapombe 8. Nyoni 9. Baleke, 10. Mzamiru 11. Kanoute)