FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

Jitihidi uwe na ufahamu wa vitu vidogo vidogo kuepusha kuaibika.

Michuano ya Azam federation ina husisha timu zilizoshindwa kufuzu kwenye michuano mikubwa?
Ndio mkuu,maana Hadi kitayose hua na green warriors hua wanacheza azam federation cup ila hata hawajulikani wanacheza ligi gani kubwa
 
Umeshindwa kombe la loser huko si utabakwa
Tulia wewee. Timu ngumu kwa Simba ziko tatu tu, Wydad tumetoka kupambana nayo na aggr. ilikuwa 1-1, Al Ahly tunammudu. Mamelodi pekee hatuna historia nao ila wanafungika.

Ngoja muonyeshwe mambo haya yanavyofanyika ili mbele huko mkipewa nafasi mjue mchezeje msije mkatia aibu.
 
Ndio mkuu,maana Hadi kitayose hua na green warriors hua wanacheza azam federation cup ila hata hawajulikani wanacheza ligi gani kubwa
Michuano kuitwa ya losers hakujatokana na timu ndogo kutoka local league kushiriki michuano na timu kutoka classic league.

Loser tournament imetokana na timu kushindwa kuhimili michuano mikubwa na hivyo kutupwa kwenye michuano midogo (ambayo ndio losers) kama option ya kupewa second chance ujitafute.

Hapo nimeeleweka au mpaka aisome Sunday Manara na Kikwete?
 
kwanza hakuna club ya mpira inaitwa Dar Young Africans acha ushabiki wa kijinga. Ile club inaitwa Young Africans Sports Club, DSM ni makao yake makuu.
 
Hao unao wasema hawaja ishia robo finally
 
Jitahidi uwe na ufahamu wa vitu vidogo vidogo kuepusha kuaibika.

Michuano ya Azam federation ina husisha timu zilizoshindwa kufuzu kwenye michuano mikubwa?
Umeshindwa kufika fainali ya kombe unalo lidharau huko kwa vigogo si utakua ngoma
 
Jitahidi uwe na ufahamu wa vitu vidogo vidogo kuepusha kuaibika.

Michuano ya Azam federation ina husisha timu zilizoshindwa kufuzu kwenye michuano mikubwa?
Umeshindwa vitu vidogo hivyo vikubwa utaweza? yaani kombe amabalo Pamba FC kashiriki umetoka kapa huko kwa kina Mamelodi si utakua kama changudoa kila mtu anajioigia
 
Sawa mwaka jana umecheza huko kwa loser ulifika wapi?
 
Naona kocha kafunga turbo kisinda apo ..leo ni mchaka mchaka
 
Umeshindwa kufika fainali ya kombe unalo lidharau huko kwa vigogo si utakua ngoma
Msimu naocheza mimi hayo mashindano kulikuwa kuna vichwa vigumu.

Timu zinazoshuka daraja kama Marumo hazikupata hiyo nafasi, ukiwemo na wewe.

Loser ya saizi ni ile grade ya mwisho kabisa
 
Umeshindwa vitu vidogo hivyo vikubwa utaweza? yaani kombe amabalo Pamba FC kashiriki umetoka kapa huko kwa kina Mamelodi si utakua kama changudoa kila mtu anajioigia
Na vitu vidogo havikuwa kwenye mkakati wa Club

Hata nyie ambition yenu ilikuwa kufika makundi ya Club Bingwa ila ndoto ikayeyuka.
 
Kwa hiv ssa ndani ya Afrika masharik klabu gani inayoshirik mashindano ya hadhi kwa ngazi ya club barani Afrika?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…