FT: CAF Confederation Cup | TP Mazembe 0-1 Yanga | Stade Tp Mazembe | 02.04.2023

FT: CAF Confederation Cup | TP Mazembe 0-1 Yanga | Stade Tp Mazembe | 02.04.2023

Mkuu we subiri tarehe 16 ndio utajua kwanini Yanga inaogopwa na Arsenal, tutawafanya vile ambavyo hatujawahi
Mechi ya Jana ya arsenal na Leeds united
Nilijifunzaa mengi sanaa 😀😄

Kama Leeds ilikua Bora vile na Bado ikachezea mshedede yanga ni nani 😂😂😂🤣🤣

636Passes307

Still Bado hatuja fikia FOOTBALL ⚽ REVOLUTION 🤚🤚
 
Baada ya kupewa nyota moja na Simba.
Leo mkishindwa kumfunga TP Mazembe. Mkajipange sana tena mjitafakari mnakosea wapi?
Simba ina uwezo wa kushinda home and away wala siyo kubahatisha
Mmeshinda lin ugenin makolo zaid yayule kibonde vipers
 
Back
Top Bottom