FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Kwani Chalamila anacheza namba ngapi ?

Tatizo mliandaa kikosi cha kucheza kwenye jua, mkasahau waarabu nao walikuwa wanaomba mvua inyeshe.. Imenyesha na tumeona panapovuja.
Wamepata support ya mganga wa simba aliyeipiga yanga na mvua kwenye dabi ya mwisho
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] نستيينينينييميممططمطمطمطنمذمثمثثموذذوذوذوذوذووو jichange na ww twende uarabuni weyeeeeeee
 
Ningeshangaa sana uto kubeba kombe before Simba kubeba,hii ndio maana harisi ya utopolo
 
Union Sportive de la Médina d'Alger takwimu zetu mpaka sasa...
Umiliki kwa 41%
Mashuti (5) 2 yaliyolenga lango
Kona ni 2 tu.
Tumepiga pasi 144
Aliyetutanguliza siyo mwingine ni Mahious.A dk 32.siyo mbaya sana kazi iliyobaki ni kupambana na mchezaji mmoja ambaye kila mpira wanampa yeye tu tunadhani ni huyu tu ndiyo wanamtegemea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…