FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Yanga wakishinda ni pasua kichwa na tambo zao ila waarabu hapana watoke tu. Yanga wapambane.
 
Hili jna tukishamaliza kuchukua ubingwa + wiki moja ya kushangilia ubingwa ulibadilishe
 
Kwani Chalamila anacheza namba ngapi ?

Tatizo mliandaa kikosi cha kucheza kwenye jua, mkasahau waarabu nao walikuwa wanaomba mvua inyeshe.. Imenyesha na tumeona panapovuja.
yuko pale sleepaway anapiga juice na watoto wa mjini
 
Hii ndio timu nzuri ya kwanza utopolo wamekutana nayo kwenye haya mashindano angalia wanavyotaabika

Uto bado hana uwezo wa kupambana na magiant kama Ahly na Wydad, ataenda tu kuaibishwa huko, hii shirikisho kwa sasa ndio level yao.
Huu ndio ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…