zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Mgunda = Andazikwani ally komwe kasemaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mgunda = Andazikwani ally komwe kasemaje
Hakuna la Pili 🤧Wakati mnafukuza mwizi kumbukeni kufunga mlango wenu, mkipigwa la pili hapa fainali itakuwa imeisha.
😏😏😏😏🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮Njoo lodge [emoji7][emoji7][emoji7]
Haina shida subiri mpira ukiisha utafutweWakati mnafukuza mwizi kumbukeni kufunga mlango wenu, mkipigwa la pili hapa fainali itakuwa imeisha.
Huyo dunduka OG... msiniite huku uwanjani Net inasumbua 😂😂😂😂😂🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️Hii mitandao bana, unaweza ukakuta wewe ndiye Bantu Lady umenijia kivingine ili unipime upepo
Hili jna tukishamaliza kuchukua ubingwa + wiki moja ya kushangilia ubingwa ulibadilisheNdyo umenishika ninapokojoa
HABIB HABIBمسينينينطوطوطوططوطووطوطمسمسمظىظنظ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Hasira za nini we 😂Utajua mpira ukiisha 🤧
😂😂Endelea mkuu naona Uto fans wamesepa 😂😂
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Ohoooo hujui usemalo, kumbuka huyu mwarabu bado yuko kwako, sio Marumo hao ohoooMpira haujaisha usijisahaulishe [emoji1784]
yuko pale sleepaway anapiga juice na watoto wa mjiniKwani Chalamila anacheza namba ngapi ?
Tatizo mliandaa kikosi cha kucheza kwenye jua, mkasahau waarabu nao walikuwa wanaomba mvua inyeshe.. Imenyesha na tumeona panapovuja.
Cha muhimu kacheza fainali, hao ya kucheza na nani hayana umuhimu.YANGA SIO BORA KAFIKA HAPO KWA SABABU AMECHEZA NA TIMU DHAIFU TU, NADHANI WANAPEWA TASTE YA HATUA YA MAKUNDI CHAMPIONS LEAGUE.
Na nani?Uzi imevamiwa
Mpira haujaisha 🤧Ningeshangaa sana uto kubeba kombe before Simba kubeba,hii ndio maana harisi ya utopolo
Huu ndio ukweliHii ndio timu nzuri ya kwanza utopolo wamekutana nayo kwenye haya mashindano angalia wanavyotaabika
Uto bado hana uwezo wa kupambana na magiant kama Ahly na Wydad, ataenda tu kuaibishwa huko, hii shirikisho kwa sasa ndio level yao.