FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Hawa jamaa 80% ya magoli yao ni ya juu au mpira wa kutengwa
 
Tumeshawafundisha mengi makolo mpaka sasa, now tunaenda kuwafundisha jinsi ya kupindua meza kibabe ugenini na kuwaondolea dhana ya "kufa kiume" completely

Tafadhari tunahitaji utulivu wenu muelewe somo
Finalise Hata Sisi tulifika
 
Umefunga viwete unaanza kuvimba eti mwaka wa visasi.

Haya hicho kisasi kiko wapi?
 
Mbona kabla ya Yanga kucheza na hizo timu wachambuzi hapa Jf mnakuwa na kauli kuwa anapigwa ila akishinda inakuwa alicheza na vibonde ?

Vyovyote vile bahati ikitokea hauwezi kuwin ukiwa lelemama na historia ishandikwa na status ya Yanga kimataifa imepaa maradufu mwaka huu.
 
Wewe hunaga akili unasubiri matokeo ndio utoe mapovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…