FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Taratibu naona kamvua kanaanza tena

Hii inanikumbusha mechi moja ya USM ALGER walicheza na mvua iliyoambatana na ukungu na mpira uliisha kwa sare ya moja moja
 
Mwenye link ya live tafadhali
ู…ุฑุญุจุงุŒ ุญู…ู„ ุชุทุจูŠู‚ ูŠุงุณูŠู† ุชูŠููŠ ุงู„ุงู† ู„ู…ุดุงู‡ุฏุฉ ุฌู…ูŠุน ุงู„ู…ุจุงุฑูŠุงุช ูˆุงู„ุนุฏูŠุฏ ู…ู† ุงู„ู‚ู†ูˆุงุช ุจุฏูˆู† ุชู‚ุทูŠุน ู…ู† ู‡ู†ุง : www.yacineapp.tv
 
Tukutane kwa mkapa, Yanga leo kipondo kinawahusu hesabu za ulimwengu wa roho zinawakataa kupata ushindi, leo mkikaza sana kuroga mtatoa draw.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aione Shadeeya

Kelele hazitakiwi mtaani leo.
 
Shukrani ndugu, nipo mubashara bein sports 4
 
๐Š๐ข๐ค๐จ๐ฌ๐ข ๐œ๐ก๐š ๐˜๐š๐ง๐ ๐š ๐ฅ๐ž๐จ ๐ค๐ข๐ง๐š๐œ๐ก๐จ๐š๐ง๐ณ๐š
 
Update Uzi kikosi kishatoka
๐€๐ฌ๐š๐ง๐ญ๐ž ๐ค๐ฐ๐š ๐ค๐ฎ๐ง๐ข๐ค๐ฎ๐ฆ๐›๐ฎ๐ฌ๐ก๐š
 
Sijawahi kuipenda Yanga lakini kwa sababu ya Tanzania nawatakia ushindi
We jamaa usitusababishie kelele mtaani tukashindwa kulala. Watakie mambo mengine lakini sio hicho
 
We jamaa usitusababishie kelele mtaani tukashindwa kulala. Watakie mambo mengine lakini sio hicho
Hahaha vyovyote itakavyokuwa najivunia kuwa sehem ya kizazi kilichoona moja ya timu ya Tanzania ikicheza final. Yawezekana tusione timu nyingine mpaka baada ya miaka 10 tena mkuu
 
Tuliweka mechi saa kumi ili jua liwaathiri na hiki kibaridi thatha itakuwaje?๐Ÿค”๐Ÿค”
 
Kikosi kiko vizuri. Mwenyezi Mungu awasimamie vijana wetu wafanye vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ