FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

.
IMG-20230528-WA0010.jpg
 
Yanga wamebakiza mlima mgumu sana kupanda; itabidi wafunge mabao 2-0 au 3-1 huko ugenini. Mungu Ibariki Yanga. Kuna wachezaji wengi leo walikuwa wanafanya makosa ya kipuuzi sana, sijui ilikuwa ni kwa sababu ya pressure au vipi. Yanga wamefungwa kwa mara ya kwanza nyumbani, sijui kama wanaweza kuja na comeback kali huko ugeninini ingawa wana rekodi ya kufunga timu nyingi ugeninini.
Nilipoiona ile ahadi ya milioni 63 kwa kila mchezaji nikajua leo Yanga wajiandae kwa maumivu. Muarabu hatoi pesa yake kizembe hivyo.
 
𝐇𝐚𝐰𝐚𝐭𝐚𝐚𝐦𝐢𝐧𝐢, 𝐊𝐨𝐦𝐛𝐞 𝐭𝐮𝐧𝐚𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐤𝐮𝐜𝐡𝐮𝐤𝐮𝐥𝐢𝐚 𝐤𝐰𝐚𝐨
Labda kombe la uji wa ulezi. Nyie jipangeni tu kwa mwakani. Mwaka huu shangilieni makombe mliochukua hapa Bongo. Huko duniani waachieni wenyewe.
 
Acha kufananisha andazi na vitu vya hovyoo dogoo!!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nisamehe aunt
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtaniii pita kwa mangii pata chochotee, bill juu yangu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom