FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Bado tuna Imani na Yanga...
Leg 2 of 2 tuna uwezo wa kufunga 3, wao Nabi kishaona uchezaji wao, Algeria kwao huko wanaweza wasizione nyavu. Yote kheri [emoji120]

#WHYNOTUS#
#teamyawananchi#
#yangadaimambelemyumamwiko#
[emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617]
Why not Ass
 
Bado tuna Imani na Yanga...
Leg 2 of 2 tuna uwezo wa kufunga 3, wao Nabi kishaona uchezaji wao, Algeria kwao huko wanaweza wasizione nyavu. Yote kheri 🙏

#WHYNOTUS#
#teamyawananchi#
#yangadaimambelemyumamwiko#
🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰
Nakazia.
 
Ndo tuseme walau mmepata faraja leo Mtani. [emoji1787][emoji1787]
Lia taratibuuu mtaniii, sijakuzoea ukitoaa keleleee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yanga sio timu ya kwanza kufungwa first leg .....there is always next time, wale waliokosa hata kombe la mbuzi wamefurahi kuliko Algers wenyewe
 
Na mbwembwe zote ...za kununuliwa tiketi...ma ahadi ya mamilioni na bado mmepata kipigo heavy kwenu hovyooooooooooooooo
 
My Final Analysis

1_ Jamaa mipira ya juu wako vzr mipira ya chini ndio Moto wa kuotea mbali

2_ Mpira wanauweza na Wachezaji mpira wanautaka, tofaut na yanga wanaogopa kuuchezea.

3_Jamaa wanajua kufanya mikimbio ya hatari wamedrible ndani ya box la yanga zaidi ya mara 10 na wametembeza pasi zaidi ya 100 ndan ya box la utopolo.

4_ Hawabahatishi.. turejee goli la pili.

5_ hawa jamaa walikuwa na uwezo wa kufunga hata 5. Ila nilichoona wana discipline sana wamekuja kutafuta ushindi na sio kudhalilisha mtu.

6_ Utopolo bila kubahatisha na kujaribu jaribu basi leo wasingepata chichote kitu, rejea goli la mayele hakuna mipango ya wazi.

7_ Jamaa wanabeki kali sijapata kuona...

8_Kona zote za yanga zilichezwa na wachezaj wa USM hakuna kona hata moja yanga walicheza ikamfikia mtu wao.

9_ Mipira ya kutengwa ni hatari kuliko utopolo.

10_ Kipa wa utopolo walikuwa wanamlenga tu kitu kilichokuw kinampa credits za kijinga. Refer goli la 2 hakuwa na responsiveness yoyotee kuokoa goli.

11_ MASHABIKI wa yanga hawana hamsha hamsha, hawana moto, hawajui kuisupport timu yao. Sasa sijui ndio hivyo tiket za bure wakaenda watu wasio na faida.

Full house kwa yanga haikuwa na faida.

Sasa mnakuja kwetu UARABUNI mje mjionee nini maana ya neno FULL HOUSE.

Mimi ni MTANZANIA MZALENDO.

Nawatakia USM ALGER ushindi huko nyumbani kwao na sio ushindi tu bali ushindi wa Goli nyingi
 
Back
Top Bottom