FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

My Final Analysis

1_ Jamaa mipira ya juu wako vzr mipira ya chini ndio Moto wa kuotea mbali

2_ Mpira wanauweza na Wachezaji mpira wanautaka, tofaut na yanga wanaogopa kuuchezea.

3_Jamaa wanajua kufanya mikimbio ya hatari wamedrible ndani ya box la yanga zaidi ya mara 10 na wametembeza pasi zaidi ya 100 ndan ya box la utopolo.

4_ Hawabahatishi.. turejee goli la pili.

5_ hawa jamaa walikuwa na uwezo wa kufunga hata 5. Ila nilichoona wana discipline sana wamekuja kutafuta ushindi na sio kudhalilisha mtu.

6_ Utopolo bila kubahatisha na kujaribu jaribu basi leo wasingepata chichote kitu, rejea goli la mayele hakuna mipango ya wazi.

7_ Jamaa wanabeki kali sijapata kuona...

8_Kona zote za yanga zilichezwa na wachezaj wa USM hakuna kona hata moja yanga walicheza ikamfikia mtu wao.

9_ Mipira ya kutengwa ni hatari kuliko utopolo.

10_ Kipa wa utopolo walikuwa wanamlenga tu kitu kilichokuw kinampa credits za kijinga. Refer goli la 2 hakuwa na responsiveness yoyotee kuokoa goli.

11_ MASHABIKI wa yanga hawana hamsha hamsha, hawana moto, hawajui kuisupport timu yao. Sasa sijui ndio hivyo tiket za bure wakaenda watu wasio na faida.

Full house kwa yanga haikuwa na faida.

Sasa mnakuja kwetu UARABUNI mje mjionee nini maana ya neno FULL HOUSE.

Mimi ni MTANZANIA MZALENDO.

Nawatakia USM ALGER ushindi huko nyumbani kwao na sio ushindi tu bali ushindi wa Goli nyingi
Basi mbumbumbu mnawashwa leo
Hii final ya CAF
Sio
n
NBC league
Sare na Namungo
Utakuja uone medal
Mayele Top scorer
Wewe shangalia kombe la feisal
 
Pale litimu lako linaishia robo... eti una nguvu ya kuicheka timu inayocheza fainali. Zaidi hiyo ni Leg 1 of 2... lolote linaweza kutokea kwenye Final leg 2 of 2.
Tunawaachia uzi, timu mkeshe hapa. Yanga bado ni bingwa wenu wa NBC, mna mengi ya kutolea uchungu leo... tunaelewa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu wee utulieee tyuuh, hii furahaa inatuhusu mashabiki wa USMA.

kwani lazimaa utesekee na kuumia? Ndo usubiri 2nd leg. Sasa hili povuuii vepeeeee.

Ndo ushunguuuui enyeweeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbumbumbu akiichambua Yanga FC baada ya kula kichapo toka kwa Azam FC
JamiiForums-1072397695.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Asante Mungu kwa kuniongoza kufanya maamuzi sahihi leo asubuhi. Niliwekewa UZALENDO na ANDAZI nkachagua ANDAZI.
Ndo nipo nalitafuna hapa.
Hahaha, Niliwekeza kwenye uzalendo.
 
Figisu za Mwaarabu wa Algeria ni Mbaya Kuliko wa Morocco au Egypt


Haka kasentensi kana ukweli mkubwa sana
 
Back
Top Bottom