Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Nakazia...Route ya YANGA confederation ilikuwa bahati bahati tu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia...Route ya YANGA confederation ilikuwa bahati bahati tu...
Na hata fainali za CAFCCL awamu ya pili 03/06/2023 itakuwa bahati bahati tu Yanga kubeba ubingwa 2023, nimekaa pale ninayeamini soka halinaga matokeo ya kukariri kabisa [emoji117][emoji142]Route ya YANGA confederation ilikuwa bahati bahati tu...
[emoji16][emoji16] Raha sanaSi ndioo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji81][emoji81]tupeane pole PM [emoji174][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmekandwaaaaaaaaa!!!
Na ball mmechezeshewaa, no doubt.
Poleeeeeh
[emoji110]Wahuni mnacheza na usm alger mnahangaika hivi
Mngecheza na wydad casablanca taifa ingekuaje
La Mayele 🤧Vipi.. ulikuw unazungumzia goli lipi...
Tuache maneno sasa tusubiri siku ifike tuHawataamini wanaume watakachokifanya kule
AndaziHapo vipi? Nani Andazi?View attachment 2638371
Nyinyi mlifanywa nini ?Mmepigwaaaaaaaaa
Wamemuua Nani ?Wajinga wamevunja na geti wamekanyagana mpaka wamemuua mwenzao.
Tukaselemela kwa kutema mate kwenye kiganja cha USM ALGER
Kuna taarifa imetolewa na Ummy Mwalimu kuwa kuna mtu mmoja kafariki huku 40 majeruhi.Wamemuua Nani ?
Majeruhi 40 kifo kimojaKuna taarifa imetolewa na Ummy Mwalimu kuwa kuna mtu mmoja kafariki huku 40 majeruhi.
Kwenye ile gombania goli la kuwania kuingia uwanjani.
Hili goli yaan daaah kipa sijui alikua anawaza nini paleRefer goli la 2 hakuwa na responsiveness yoyotee kuokoa goli.
KATOKAVp yanga akishinda 1
TuliwapigaNyinyi mlifanywa nini ?