Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Mazembe sio timu ya ushindan?unawafikia kwenye mafanikio?we mwakarobo mechi za caf huziweziWewe unaweza ukafika level za Club Bingwa?
Hiyo Yanga yako unayoiona bora mbona ilitolewa na Al Hilal?
Hata leo hii ukiambiwa ni lini uliwahi kucheza na timu yenye ushindani kama Al Hilal tangu utupwe huko shirikisho huwezi kuwa na jibu.