FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Wewe unaweza ukafika level za Club Bingwa?

Hiyo Yanga yako unayoiona bora mbona ilitolewa na Al Hilal?

Hata leo hii ukiambiwa ni lini uliwahi kucheza na timu yenye ushindani kama Al Hilal tangu utupwe huko shirikisho huwezi kuwa na jibu.
Mazembe sio timu ya ushindan?unawafikia kwenye mafanikio?we mwakarobo mechi za caf huziwezi
 
Yanga wametembeza mbungi sana..nimefurahia wameimprove sana wame possess vizur sana. Ila naamini wanaweza pindua meza waongeze ushapu sana wakienda kwao.
Waarabu wanafitna sana kuchelewesha mpira.naamini chochote kinaweza tokea Dk 90 kule kwao zitaamua
 
Acha uongo USMA ndo wamecheza ball, aziz ki kalambishwaa nyasi na hajaamini dadekiiiiii.

Job nae hadi alikalia matako chini ndiiiii, jinsi alivyo zungushwaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
tulia utaona pira la yanga litakavyochezwa algeria. Mwarabu atapigwa kipigo cha mbwa koko kwao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeona wenzio wanavyocheza ball? Lile bao LA 2 unalizungumziajeeee???
 
Acha uongo USMA ndo wamecheza ball, aziz ki kalambishwaa nyasi na hajaamini dadekiiiiii.

Job nae hadi alikalia matako chini ndiiiii, jinsi alivyo zungushwaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ishu sio mchezaji mmoja mmoja...si umeona ile ball possesion tuliwazidi mbali..!
 
Kilichowaponza Yanga ni midomo. Ukiona Kwa Mkapa mvua inanyesha ukue hiyo mechi Simba wamesharoga.
Naunga mkono hoja
Akili ya mtu mweusi ni hovyo kabisa yupo tayari kumuumiza mwenzake ili kumnufaisha mgeni
Yaani tangu zama za utumwa
 
Back
Top Bottom