cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waarabu wamefanya kazi ya NEMC!
Wamepiga pin makelele yote!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waarabu wamefanya kazi ya NEMC!
Wamepiga pin makelele yote!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeeWachawi wengi mjini hapa wananchi tuweni makini.
Tukienda kwao hatutapiga kona hata moja Ila matokeo yatakua 1-3Azizi Ki kapiga kona kama mia saba hivi lakini mipira 80% waliokuwa wakwanza kuicheza walikuwa ni USM ALGER
Unajivunia nn msimu huu?Mmechakazwaaaaaaa yani ndembe ndembe.....
Majeruhi 30, kifo 1
Hata USMA nao wana Dkk 90, au hizo ni zenuu tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]rBADO KUNA DAKIKA 90 ZINGINE...
YANGA [emoji169][emoji172] BADO ATASHINDA UGENINI
Wewe unaweza ukafika level za Club Bingwa?Huna uwezo wa kufika yanga alipofika hizi porojo zako ni kujifariji tu,umeshindwa hata kufika fainal ya azam utaweza za caf?
Bure ni mbaya Bora wangenunua tuMajeruhi 30, kifo 1
Waulize pia walikutana lini na raja na wydad Casablanca tena wakiwa wa motoooo.Nicheze na Rivers, Tp Mazembe ya Mukoko tunombe, halafu nisifike fainali?
Hao waarabu niambie ni wakubwa kuwazidi Al Ahly?
Lini wewe kwenye haya mashindano uliwahi kukutana na mpinzani mkubwa kama Al Ahly mpaka ukafika hii fainali?
Kiukweli muda tu ndio utaongea, na tena nyie mnaosema mna kikosi kizuri ndio mtakaokuja kuongea yote.
Huu upande ambao sisi tunaongea kuhusu nyinyi halafu mnatupinga, itafika muda nyinyi ndio mtasimamia huu upande pale mtapokutana na timu kubwa
[emoji38]Ushendweeeee [emoji89][emoji34][emoji34]!!
Yanga 2-USM 1
Tumekubaliiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zao zilikua Leo [emoji16][emoji28]Hata USMA nao wana Dkk 90, au hizo ni zenuu tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]r
Kazi ipoo mbna.Bure ni mbaya Bora wangenunua tu
Lakini kina Marumo walimpasua huyu mwarabu..Yanga sasa kakutana na mshindani hswaaaaa
Sio akina marumo
Napika pilau Leo aunt 😂😂Kazi ipoo mbna.