FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Huna uwezo wa kufika yanga alipofika hizi porojo zako ni kujifariji tu,umeshindwa hata kufika fainal ya azam utaweza za caf?
Wewe unaweza ukafika level za Club Bingwa?

Hiyo Yanga yako unayoiona bora mbona ilitolewa na Al Hilal?

Hata leo hii ukiambiwa ni lini uliwahi kucheza na timu yenye ushindani kama Al Hilal tangu utupwe huko shirikisho huwezi kuwa na jibu.
 
Nicheze na Rivers, Tp Mazembe ya Mukoko tunombe, halafu nisifike fainali?

Hao waarabu niambie ni wakubwa kuwazidi Al Ahly?

Lini wewe kwenye haya mashindano uliwahi kukutana na mpinzani mkubwa kama Al Ahly mpaka ukafika hii fainali?

Kiukweli muda tu ndio utaongea, na tena nyie mnaosema mna kikosi kizuri ndio mtakaokuja kuongea yote.

Huu upande ambao sisi tunaongea kuhusu nyinyi halafu mnatupinga, itafika muda nyinyi ndio mtasimamia huu upande pale mtapokutana na timu kubwa
Waulize pia walikutana lini na raja na wydad Casablanca tena wakiwa wa motoooo.
 
Back
Top Bottom