FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

We kwa mpira ule mliopigiwa hiyo nafasi unaiona kweli?

Hapa nikizungumzia mchezaji aliuesabisha mfungwr bao 2 ni Diarra, bila huyo mlikuwa mnakufa hata 4 leo
Kiuhalisia jamaa wana mpira wa mahesabu san na umakini, ila kwenye soka lolote linaweza kutokea.
 
Fainali ndo nini? Ndo kama hii mliyopigwa?
Nani mlimpiga kwao mkienda mnaambulia kupigwa tu Nani mtaje mwarabu mliempiga ? Ukiniambia Mimi nakutajia Yanga mwarabu aliempiga haya wewe taja Nani ?
 
Pale litimu lako linaishia robo... eti una nguvu ya kuicheka timu inayocheza fainali. Zaidi hiyo ni Leg 1 of 2... lolote linaweza kutokea kwenye Final leg 2 of 2.
Tunawaachia uzi, timu mkeshe hapa. Yanga bado ni bingwa wenu wa NBC, mna mengi ya kutolea uchungu leo... tunaelewa.
Mmefungwa
 
Kiuhalisia jamaa wana mpira wa mahesabu san na umakini, ila kwenye soka lolote linaweza kutokea.
Kiuhalisia hii ndio timu yenye ushindani tangu mmefika shirikisho

Zile kelele za kusifia kikosi chenu ziliwalevya mkaaahau ubovu wa wapinzani wenu na mkaanza kutubeza.

Hii timu mngecheza nayo kwenye hatua ya robo, huku msingefika.

Ngoja mwakani tutawaona Club Bingwa
 
Back
Top Bottom