FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Aahh....hongera Mimi Sina uzalendo huoo Wana midomo sanaaa ..lolote liwakute
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tulizanaaa udugu, kikubwaa uwe mvumilivu
🀣🀣🀣🀣😊! Relaxxxxxx Udugu akeeeee sio kwa maombi kabayaaa hayoooo !
MshwendwweeeeeπŸ€£πŸ€£πŸ˜…!
 
UZI HUU UTOPOLO WAMEUSUSA Ψ³Ω…ΩŠΩ†ΩŠΩ†ΩŠΩ†ΩŠΩ…Ψ³ΩŠΩ†Ψ³ΩŠΩŠΩ†ΩŠΩŠMWAMNYETO CHOONIΨ΄ΩˆΩˆΨ³ΩŠΩ†Ψ«Ω†ΩŠΩ†Ω†ΩŠΩ†[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Kila la kheri Timu ya Wananchi katika kuzimalizia dakika tisini zilizobakia.

Yota kwa yote hakuna kisichowezekana katika mpira tupo tayari kwa matokeo yaliyo mazuri zaidi. πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
 
Usiku wa kuamkia mechi leo nchini Algeria Mashabiki wa USM Alger walienda nje ya Hotel waliyofikia Yanga Algeria The Legacy Luxury na kuanza kupiga mafataki, unaambiwa hii ni tabia yako kwa lengo la kuitoa mchezoni timu ya ugenini.

Yanga saa 22:00 kwa saa za Tanzania leo watacheza mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikishi Afrika dhidi ya USM Alger baada ya ule wa kwanza Dar es Salaam USM Alger kuibuka kidedea 2-1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…