FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Wangechukua kombe Gongowazi yani Mpira ungekuwa ni kitu cha kipumbavu kilichoingia nuksi.

Maisha ya mpira yangedharaulika maradufu, heshima ya watu waliowekeza kwenye mipira ingeshuka.

Yani mambo mengi ya ajabu yangefanyika sana.
 
Mwanachi vimba kuna watu moment kama hii inawezekana wasione,sisi tumeiona na tuna cha kusimulia na CAF kwenye database zao wanatujua kuwa ni wa kwanza kutoka Tz kufika fainali na kuvaa medali.
Mna Cha kuzungumzia kwa kombe hili hili la losers au?
 
Hakika wewe ndiye shabiki pekee wa simba ambaye haupo kwenye lile kundi lililoitwa mbumbumbu na mwenyekiti mstaafu.
 
Yanga inakuwa klabu ya pili kucheza fainali za kombe la afrika baada Simba mwaka 1993. Hakuna jipya.[emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…