Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Mnajipa hype za bure tu, anaechukua kombe CAFCC mwenyewe huwa hasikiki kabisa ije kuwa mvaa medali? BERKANE ulimsikia wapi baada ya pale?Mwanachi vimba kuna watu moment kama hii inawezekana wasione,sisi tumeiona na tuna cha kusimulia na CAF kwenye database zao wanatujua kuwa ni wa kwanza kutoka Tz kufika fainali na kuvaa medali.
Kombe la kuwekewa hizi hype ni CAFCC tu ambalo mtakuwa mnatoka hatua za awali kama kawaida yenu.
DATABASE FC[emoji23]