FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Mnajipa hype za bure tu, anaechukua kombe CAFCC mwenyewe huwa hasikiki kabisa ije kuwa mvaa medali? BERKANE ulimsikia wapi baada ya pale?

Kombe la kuwekewa hizi hype ni CAFCC tu ambalo mtakuwa mnatoka hatua za awali kama kawaida yenu.

DATABASE FC[emoji23]
Sasa ww CAFCC si bingwa wa kushiriki Mwakarobo,hufiki popote unaishia robo na hata ukija huku confederation unaishia robo.

Ngojea mwanaume msimu ujao nakuja huko kukupa shule.

Nyie endeleni kwasajili wakina Sawadogo na akina Okwa,huku mkiletewa muowaone wachezaji wazuri kwenye mikutano yenu kama wasimamizi wa uchaguzi.

Mimi hata huko CAFCC nikifika robo mtanikamatia fainali.
 
Ndiyo faraja yenu hiyo mnayojifariji kila mwaka. Wenzenu wanacheza fainali, nyinyi mnaishi kwa kutegemea historia.
Utakuwa bado kijana mdogo nyie sio kwanza kufika fainali/kuvaa medali za CAF
 

Attachments

  • 5A966303-B6A9-4033-8E40-D5FFAB76569A.jpeg
    5A966303-B6A9-4033-8E40-D5FFAB76569A.jpeg
    36.5 KB · Views: 1
  • 2159CAFF-097A-40BE-98A8-8C9D21F07771.jpeg
    2159CAFF-097A-40BE-98A8-8C9D21F07771.jpeg
    62.2 KB · Views: 1
SEMA NI MUDA WA TANZANIA NA SISI TUACHE UNAFIKI WA KUWAPOKEA WENZETU NA KUJIFANYA WAKARIMU,SASA HIVI NA SISI IWE KAMA WANAVYOTUFANYIA WAO TIT FOR TAT
Huku kwetu jeshi la polisi ndio la kwanza kuzuia fataki na moshi.
 
Vipi wewe ukiyepmbana kupitia vipers,Horoya umechukua nini? Au upo unamtunishia taqo muarabu😅
Yanga Sc VS Rivers

Yanga Sc VS Marumo

Ni lini mlipambana? Huwezi kuchukuo kombe kwa kupita hizo njia za panya.
 
Wewe Uto Sio Wa Kwanza Kufika Fainali Kombe La Loosers....Simba ameshatinga hapo 1993...! Ni historia tu

Halafu, Makundi CL Utopolo hamjatinga kwa zaidi ya Miaka 23...Ni historia tu
CAF hawa fahamu au ujaenda kwenye official page yao ya twitter kaangalie walicho kiandika, labda kama una maanisha CAF ya Lipumba yenye makao makuu hapo Buguruni.
 
KUFUATIA MAUJINGA MENGI YALIYOTOKEA LEO UANJANI IKIWA MOJAWAPO LA VIJANA CHIPUKIZI WAOKOTAJI MIPIRA KUTUMIKA KATIKA KUPOTEZA MUDA, NAISHURI TFA YAPELEKE MAPENDEKEZO CUF KUWA FAINALI ZA MASHINDANO YA NAMANA HII, YASIFANYIKE KATIKA NCHI HUSIKA. IWE KAMA VILE ULAYA WANAVYOFANYA
Na Bado....Papapapaaaa....Fyuuu.,!

Dk 180

Dk 90 za Kuzitumia kila mmoja na Kwao.
 
Na kwa kuongezea tu.

1. Diarra ndo man of the match
2. Mayele kachukua kiatu cha dhahabu
3. Billion 2.3 zipo mfukoni za kuchania nywele


Waseme wanataka nini, jinsi mtumbani au beli dukani!!!!
Moment kama hii anayo iona Yanga wakina Mwakarobo inawezekana wasije kuiona.
 
Fungu la kukosa wamepata la kuongea leo😂😂😂😂😂

Kombe tumekosa..fainali tumefika na pira tumelicheza..kiatu kimepatikana na fwezaaa Kama hizo..dege linatusubiri lirudishe watu home.
🤣🤣🤣🤣🤣Tusubiri vikombe vya nyumbani Sasa.
 
Sasa baada ya kufika robo ulipata nini? Mwenzio nina medali,wewe je? Kwa hiyo ww uwezo wako ni robo?
Medali bila kombe ni sawa na zile shanga za kienyeji za kutibu tonsils, kule kwa ndugu zangu wasukuma wanayaita MATUYUYU [emoji1].

Mimi usinieleze habari za michuano isiyoeleweka eti SHIRIKISHO, njoo kule kiumeni tupambane ili ujue ukubwa wa hiyo robo unayoiponda hapa.
 
Ila hii kucheza fainali home and Away siyo. Sasa hapo ingeshinda Yanga huko uarabuni wamejaa wapinzani na mimoshi.
Mkuu najua umetamani kusiwe na fainali ya home and away kwa sababu umeshinda mechi ya pili lakini haukuchukua kombe.
Ungeshinda Leo huko huko kwa idadi ya magoli ya kukuwezesha kuchukua kombe nadhani wala usingeandika ulichoandika.

Sasa hebu jiulize hivi, mechi ile ya kwanza kati ya yanga na usma iliyochezwa Dar ndo Ingekua mechi moja pekee na ya mwisho kwa matokeo yale,ungejisikiaje?
Kwa Mkapa ilikua Usma 2 - 1 Yanga.
Kwa matokeo hayo yange ndo ilishashindwa kuchukua kombe pia .

kama kusingekua na mechi ya pili nadhani ungetamani kuwe na mchezo wa marudiano.
Kumbuka hii mechi ya Leo ndio imekupa nafasi ya kufunga goli moja bila.
 
Back
Top Bottom