Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Huo moshi ulikuwa unawabagua wachezaji wa USMA?Sasa ni muda wa Yanga nao kulalamika kule CAF kupuliziwa moshi uwanjani
Numbisa tulia basi..![emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo moshi ulikuwa unawabagua wachezaji wa USMA?Sasa ni muda wa Yanga nao kulalamika kule CAF kupuliziwa moshi uwanjani
Sasa ww CAFCC si bingwa wa kushiriki Mwakarobo,hufiki popote unaishia robo na hata ukija huku confederation unaishia robo.Mnajipa hype za bure tu, anaechukua kombe CAFCC mwenyewe huwa hasikiki kabisa ije kuwa mvaa medali? BERKANE ulimsikia wapi baada ya pale?
Kombe la kuwekewa hizi hype ni CAFCC tu ambalo mtakuwa mnatoka hatua za awali kama kawaida yenu.
DATABASE FC[emoji23]
Utakuwa bado kijana mdogo nyie sio kwanza kufika fainali/kuvaa medali za CAFNdiyo faraja yenu hiyo mnayojifariji kila mwaka. Wenzenu wanacheza fainali, nyinyi mnaishi kwa kutegemea historia.
Huku kwetu jeshi la polisi ndio la kwanza kuzuia fataki na moshi.SEMA NI MUDA WA TANZANIA NA SISI TUACHE UNAFIKI WA KUWAPOKEA WENZETU NA KUJIFANYA WAKARIMU,SASA HIVI NA SISI IWE KAMA WANAVYOTUFANYIA WAO TIT FOR TAT
Yanga Sc VS Rivers
Yanga Sc VS Marumo
Ni lini mlipambana? Huwezi kuchukuo kombe kwa kupita hizo njia za panya.
Labda kombe la uji wa uleziKumbe,,,,,,inamaana kombe hachukuwi??
Kama kombe hawachukuwi aisee Mungu mkubwa na ashukuriwe Mungu,,,,,,,,,jamani tusingekunywa maji.
CAF hawa fahamu au ujaenda kwenye official page yao ya twitter kaangalie walicho kiandika, labda kama una maanisha CAF ya Lipumba yenye makao makuu hapo Buguruni.Wewe Uto Sio Wa Kwanza Kufika Fainali Kombe La Loosers....Simba ameshatinga hapo 1993...! Ni historia tu
Halafu, Makundi CL Utopolo hamjatinga kwa zaidi ya Miaka 23...Ni historia tu
Na Bado....Papapapaaaa....Fyuuu.,!KUFUATIA MAUJINGA MENGI YALIYOTOKEA LEO UANJANI IKIWA MOJAWAPO LA VIJANA CHIPUKIZI WAOKOTAJI MIPIRA KUTUMIKA KATIKA KUPOTEZA MUDA, NAISHURI TFA YAPELEKE MAPENDEKEZO CUF KUWA FAINALI ZA MASHINDANO YA NAMANA HII, YASIFANYIKE KATIKA NCHI HUSIKA. IWE KAMA VILE ULAYA WANAVYOFANYA
Moment kama hii anayo iona Yanga wakina Mwakarobo inawezekana wasije kuiona.Na kwa kuongezea tu.
1. Diarra ndo man of the match
2. Mayele kachukua kiatu cha dhahabu
3. Billion 2.3 zipo mfukoni za kuchania nywele
Waseme wanataka nini, jinsi mtumbani au beli dukani!!!!
Hakuna kitu, ni JF tu ndio kuna matokeoAljazeera, bbc, .etc no report on this finale
Medali bila kombe ni sawa na zile shanga za kienyeji za kutibu tonsils, kule kwa ndugu zangu wasukuma wanayaita MATUYUYU [emoji1].Sasa baada ya kufika robo ulipata nini? Mwenzio nina medali,wewe je? Kwa hiyo ww uwezo wako ni robo?
Mkuu najua umetamani kusiwe na fainali ya home and away kwa sababu umeshinda mechi ya pili lakini haukuchukua kombe.Ila hii kucheza fainali home and Away siyo. Sasa hapo ingeshinda Yanga huko uarabuni wamejaa wapinzani na mimoshi.
Huo moshi ulikuwa unawabagua wachezaji wa USMA?
Numbisa tulia basi..![emoji23][emoji23]