Mnajipa hype za bure tu, anaechukua kombe CAFCC mwenyewe huwa hasikiki kabisa ije kuwa mvaa medali? BERKANE ulimsikia wapi baada ya pale?Mwanachi vimba kuna watu moment kama hii inawezekana wasione,sisi tumeiona na tuna cha kusimulia na CAF kwenye database zao wanatujua kuwa ni wa kwanza kutoka Tz kufika fainali na kuvaa medali.
Kombe lilikuwa linaenda kutiwa nuksiYaani Simba ahangaike miaka yote, nyie mje na fluku mchukue tu kirahisi rahisi?
Don't be stupid big manUlianza kwa bashasha ila mbeleni ume change ghafla
Tume bet kesho nampa Ef sitiniHamjabet??kwamba uende shule badala yake utafute sare kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuvaa medali bila kombe Ni sawa na kuvaa irizi tuMnajipa hype za bure tu, anaechukua kombe CAFCC mwenyewe huwa hasikiki kabisa ije kuwa mvaa medali? BERKANE ulimsikia wapi baada ya pale?
Kombe la kuwekewa hizi hype ni CAFCC tu ambalo mtakuwa mnatoka hatua za awali kama kawaida yenu.
DATABASE FC[emoji23]
We bwana weeeeee usitutukane sisi hatukukutuma umuanzishe Azizi Ki mechi ya 1st leg mkiwa kwenuWaarabu ni wapumbavu, na kwa mtindo huu michuano ya CAF itaendelea kuwa ya kupooza isiyo na mvuto.
Big up sana YANGA, hakika mmepambana, hatuna tunacho wadai
Mashindano ya ajabu hayaSheria za kijinga sana hizi ndo maana wenzetu waliondoa huu upuuzi.
Fainali iwe moja tu.
Africa aisee imekaa kipigaji sana aisee
Makundi CAFCL uliingia lini? Achilia mbali hiyo robo fainali unayoiponda hapa.Wivu tu umekujaa. Yanga anarudi kama mshindi wa pili. Na bado kuna tuzo ya mfungaji bora wanarudi nayo!!
Au ndiyo unataka kuwalinganisha na ile timu yako inayoishia robo fainali?
Wewe Uto Sio Wa Kwanza Kufika Fainali Kombe La Loosers....Simba ameshatinga hapo 1993...! Ni historia tuMwanachi vimba kuna watu moment kama hii inawezekana wasione,sisi tumeiona na tuna cha kusimulia na CAF kwenye database zao wanatujua kuwa ni wa kwanza kutoka Tz kufika fainali na kuvaa medali.
Na kwa kuongezea tu.Mwanachi vimba kuna watu moment kama hii inawezekana wasione,sisi tumeiona na tuna cha kusimulia na CAF kwenye database zao wanatujua kuwa ni wa kwanza kutoka Tz kufika fainali na kuvaa medali.
Leo mna kila sababu ya kuongea. Ngoja tuwapeni nafasi, maana kuimba ni kupokezanaWe bwana weeeeee usitutukane sisi hatukukutuma umuanzishe Azizi Ki mechi ya 1st leg mkiwa kwenu
Huyu **** huwa anaongea kupitia taqo?.Wangevhukua Gongowazi yanj Mpira ungekuwa ni kitu cha kipumbavu kikichoingia nuksi.
Maisha ya mpira yangedharaulika maradufu, heshima ya watu waliowekeza kwenye mipira ingeshuka.
Yani mambo mengi ya ajabu yangefanyika sana.
Kombe lilikuwa linaenda kutiwa nuksi
Afadhali USM ALGER hawajatuangusha
Aljazeera, bbc, .etc no report on this finaleHalafu mbona ukitafuta kwenye mtandao hamna hata sehemu wanaonyesha matokeo, au hili kombe ni la chekechea?
Roho hapa hainiumi yani furaha hata ningeokota 2M nisingekuwa na furaha kama niliyonayo.Naona roho inakuuma mkuu
Jipange mwakani