FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Uzuri hata nyinyi mlilowa viwili kabla ya hii mechi, najua kukosa kombe kumekutoa kumbukumbu yote[emoji23].
Yanga amekosa kombe kwasababu za kikanuni na sio matokeo ya uwanjani!, Tumewapelekea Moto waume zenu mpaka wakatamani mechi iishe...😅. Ila najua na wewe hicho kimoja bado kimekulowanisha kiboxer? Au natania ndgu yangu🙄
 
Wakati sisi tuko huko hatukutanishwa na team zinazopigana zisishuke daraja.
 
Kombe kubwa ni moja tu CAF champion league na lapili ndo hilo litaanza CAF super league. Ilo la kwenu ni la maluza
 
Kwa hapa Tz hakuna kombe ambalo yanga analo na Simba Sc hana, kwanini nisifurahi Yanga Sc kukosa hilo kombe ambalo Simba Sc hana?

Ligi, lile la Azam, chukueni wala sisi hatuna shida.

[emoji23]
Kwanini ufurahie Yanga kutokuchukua kombe ambalo wewe unaona halina maana...???
 
Mtateseka sana mbwa nyinyi.
Sasa hii ndio nini?

Mtu amevamiwa na majambazi, majambazi wamepora kila kitu kisha wakamfanyia unyama wa ukatili wa kijinsia

Ila katika purukushani za kusumbua sumbua jamaa majambazi wakarusha mkuki kwa lengo la kumuua, yule mtu akaudaka.

Baadaye watu wanakuja wanaanza kumsifu kuwa jamaa ni shujaa, wakati huo mali zake zimeibiwa na ubingwa umepokwa.

Sasa hizo pongezi zinamsaidia nini?
 
Kwa hapa Tz hakuna kombe ambalo yanga analo na Simba Sc hana, kwanini nisifurahi Yanga Sc kukosa hilo kombe ambalo Simba Sc hana?

Ligi, lile la Azam, chukueni wala sisi hatuna shida.

[emoji23]
Akili za shoga ake zuena kudhani kama wewe huna basi na mwenzako hastahili kuwanacho. Vipi kuhusu matokeo bwana yenu amepakwatae😅
 
Mama Angejua ....! Asingeliingiza Taifa kwenye Hasara hii Ya Ndege..!

Washauri tunawaomba Mumshauri Mama Vizuri.....! Yeye hawajui Utopolo Kaingizwa mkenge tu.
 
Kwanini ufurahie Yanga kutokuchukua kombe ambalo wewe unaona halina maana...???
Kwasababu walianza kiupa hadhi michuano ya CAFCC sawa na ile ya CAFCL.

Ingekuwa ni kuunajisi mchezo wa mpira.
 
Kwani hili nimefikaje,mimi nina kwambia nikifika robo ujue naingia fainali na kukifyeka hiko kichaka chako cha robo.
Umefika kwa kucheza na team dhaifu zinazoshuka madaraja katika ligi zao husika, kule kiumeni hakuna huo upumbavu ndiomaana hata makundi hauwezi kunusa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…