ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Ukiona Kitu Wanasiasa Wana Kishadadia na Kukishabikia na Kukivalia Njuga Ujue Imeeenda Hiyoooooo, Wanasiasa Wamekaa kijanja Janja na Kihuni huni sanaa… Mara wametoa ndege mara ma waziri wameenda kwa Kodi zetu na Posho zetu kwa Mgongo wa Hamasa Huku wakijua Fika watafungwa lengo watupige tuuu hela zetu