Yanga wanaanzia kwa Mkapa.Hawa USM Alger tukiweza kukomaa nao kwao basi hili kombe kwa Mkapa Yanga analibeba.
Mechi ninavyoiona Asec hawachomoki wameshaingizwa kwenye mfumo wa Waarabu.
Mechi itanzia kwa Mkapa kwao ni marudiano.Hawa USM Alger tukiweza kukomaa nao kwao basi hili kombe kwa Mkapa Yanga analibeba.
Mechi ninavyoiona Asec hawachomoki wameshaingizwa kwenye mfumo wa Waarabu.
Asec hawatoki hapo, Nabi na wachezaji waiangalie kwa makini hii mechi tunaanzia ugenini na Waarabu tunamalizia kwa Mkapa, issue ni kuweza kuwadhibiti kwao kwa Mkapa lazima wage kombe likiwa uwanjani.Nipo na Asec .
Yanga wanaanzia kwa Mkapa.
Hizi taarifa mmezipata wapi?Mechi itanzia kwa Mkapa kwao ni marudiano.