FT: CAFCC: USM ALGER 2 VS 0 ASEC MIMOSA | 17/05/2023

Kwani hakuna watu waliosema Simba atakufa 8 kwa Wydad?

Hao watu hamkuwahi kuwaita hater au wanaichukia Simba kwasababu ni timu ambayo hamuipendi.

Acheni unafiki sometimes
 
90'
Asec wanakosa bao hapa
 

Usikariri
 
Kwani hakuna watu waliosema Simba atakufa 8 kwa Wydad?

Hao watu hamkuwahi kuwaita hater au wanaichukia Simba kwasababu ni timu ambayo hamuipendi.

Acheni unafiki sometimes

Kwenye hiyo hoja yangu kuna sehemu nimezungumzia habari ya hater? Au nimezungumzia maswala ya kimbinu. Naona umrenda kwenye kitu ambacho sijakiongelea kabisa.
 
USM wanakosa bao la wazi
 
Kwenye hiyo hoja yangu kuna sehemu nimezungumzia habari ya hater? Au nimezungumzia maswala ya kimbinu. Naona umrenda kwenye kitu ambacho sijakiongelea kabisa.
Hujazungumzia ila mimi nimeli address dedicated kwa wahusika.

Wewe ulionesha hadi uwezekano wa Wydad kudharirika kwenye mechi ya Simba.

Na hata ungesema anafungwa 10 napo fresh nisingekukuona hater kwasababu najua ndio philosophy ya ushabiki wetu ulivyo.

Tatilo linakuja tunapoanza kulazimishana hafi mitazamo ifanane na pale inapotokea tunapishana utaskia hater mara fulani anachuki sana na Yanga
 
Asante USM ALGER UBINGWA WETU
كممويييسسسصصمخطيNTWA BA
 
Bora wewe Ulaya wakizingua bongo unapata furaha kwa timu yako.

Sisi wengine kuanzia nje mpaka ndani tuna Carabao tu
Pole sana mkuu.
Binaadam tuna maisha ya kujitakia sana, ila ndiyo dunia inavyotutaka tuishi. Vibao huwa vinapinduka
 
Huu uzi wa kiumbavu sana. Hizo updates ziko wapi? Ujinga ujinga tu. Kama hamuwezi muwe mnatuliza mishono, madunduka nyie
Mwishooni tumejua kwanini umechukia.

Hofu yako iko wapi wakati Nabi yupo?
 
Pole sana mkuu.
Binaadam tuna maisha ya kujitakia sana, ila ndiyo dunia inavyotutaka tuishi. Vibao huwa vinapinduka
Yap vikipinduka tu Simba bingwa super cup
 
Ipo hivi binadamu (mashabiki) tunatofautiana. Binafsi kipindi cha nyuma, nilishakiri wazi tu humu kusifia ubora wa Simba wewe pamoja na mashabiki wenzio wa Simba ni mashahidi.
Lakini kukiri huku sio kila mtu anaweza kuwa na ile moyo wa kusifia cha jirani wengine ndio asili yao yaani kila kizuri cha mwenzake yeye ni kukikosoa tu hata iweje. Sasa hapo ndipo watu wanafikia kuitana majina ya hater
kuna watu wamechukulia usimba na uyanga kama uadui, hauwezi kuta jema linazungumziwa hata kama lipo ni kusiliba na kuponda tu mwanzo mwisho.
 
Ndio, nikiwepo na mimi ni miongoni mwa watu ambao sio rahisi kuona nasifia ubora unajua kwasababu gani?

Wengi tulishawahi kufanya hivyo tukaambiwa tunaleta shobo, tukaitwa wanafki.

Sasa walitaka nifanye nini? Nigandishe damu halafu niite maini?

Nikaona sasa hapa ni muda wa maninja mbwai mbwai tu, ukishinda fresh niletee majungu, ila nami nikikupata kwenye angle yangu nisisikie kwiooo kama kifaranga kaona mwewe.

Kwa hiyo haya ndio maisha yetu humu na ni fresh wenyewe tumezoeana
 
Yap vikipinduka tu Simba bingwa super cup
Mimi nafanya utani, ila deep down nilitamani sana hivi vilabu vyetu vifike final na kybeba ndoo.
Kwa Simba kushiriki Super Cup no hard feelings kwa kweli. Kwanza tunatakiwa kuwa on top then ushindani wetu uendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…