FT: CAFCL - Al Hilal Vs MC Algier | (1-1)

Itakuwa nzuri maana wote watatu mtakuwa mnagombania nafasi, lkn hilal akishinda mtabaki wawili kushindania nafasi ya pili
Hapa mkombozi wetu ni TP Mazembe Sasa nae akisusa hapo ni wazi tunaaga mashindano
 
Bado hesabu zinakuwa wazi kwa kila timu kufuzu, Yanga si wana mechi nao hao Mc Alger? Kinachotakiwa Yanga ashinde vs Al Hilal kisha mechi ya mwisho amfunge Mc Alger kwa magoli matatu bila kuruhusu goli
Mc Alger akishinda Leo anafika alama 8 na akimpiga Mazembe tayari anakuwa ashafuzu
 
Swali langu kwako

Naomba unitajie ni timu gani ikifeli kufuzu caf champions league baada ya kufikisha point 9 ?
Wewe shuleni somo la hesabu lilikupiga chenga, una mpira wa kukariri bila hesabu. Achana na point 9, Al Hilal ilishindwa kufuzu pamoja na kuwa na point zao 10. Ni champions league ya msimu wa 2019/2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…