Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
- Thread starter
-
- #41
Hakuna maji, kiwanja kizuri Cha nyasi asiliakiwanja kina maji na kibovu. noma Sana
APR 1 - AZAM 0Matokeo
All the best KakaView attachment 3078139
azam fc leo anacheza na Apr fc ya Rwanda kukata ticket ya 2nd stage ya preliminary round . mechi ya kwanza aggregate azam fc 1 -0 APR FC. penalty ya blanco.
mechi saa 1 kamili. #TUMEIPATA CODE
Wapigwe tu hakuna namnaAPR 1 - AZAM 0
Sio kweli hahahaahhahahahahakiwanja kina maji na kibovu. noma Sana
acha waongezwe cha pili, fei kafata pesa sio mafanikio kisokaWapigwe tu hakuna namna
Bora hata angeenda kucheza Simba angeonekana zaidi. Ni mchezaji mzuriacha waongezwe cha pili, fei kafata pesa sio mafanikio kisoka
Hii ni perfect descriptionAzam Fc ni timu ndogo yenye pesa