FT: CAFCL: Mamelodi Sundowns 2-2 Wydad Casablanca | Live Updates | Mei 20, 2023

Wangese wame shindwa kujibeba yakaona yampe Mwarabu na goal mbwa haya
 
Kuna Mwamba aliwahi kuleta uzi unaosema "Mamelody Sundowns are overated" nadhani leo watu watakubaliana nae
Hongera sana Wydad Casablanca [emoji122][emoji122][emoji122]
Ndo nilikua nauwaza sahivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna Mwamba aliwahi kuleta uzi unaosema "Mamelody Sundowns are overated" nadhani leo watu watakubaliana nae
Hongera sana Wydad Casablanca [emoji122][emoji122][emoji122]
Kwa kweli yn, ni wa kawaida sn tu. Hata walivocheza na al hilal kule sudan walicheza kawaida tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…