FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Hii ni weekend huenda wamesahau kubofya
 
Maoni yamepokelewa
 
Daa hiki kituko mbona nikiangalia sub sioni kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa boko na uzee wote akiingia atafanya nini.
 
Daah..
Hivi unamtoa BALEKE,Unamuongiza BOKO..?
huyu mr objective hajipendi...

Mimi tatizo lipo kwa SAIDOO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…