FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

OK!....tuseme Simba imecheza kimkakati sio?...

hapana tuwe wa kweli tu, bado Simba haijawa na utimamu.
 
Yeye huyo mshindani kashindwa nini kumtoa simba kwa kanuni?
 
Hajashindwa mechi hata moja, kwa akili yako unaona anastahili kutoka?

Unadhani ni kwanini Ulaya wameondoa hiko kitu? .... obviously ni upuuzi. Mtu hajapoteza mechi, unasemaje katoka?
 
Kanuni zipo ili zifuatwe, hakuna mashindano yasiyo na kanuni.

Simba imekwisha fuzu hatua ya makundi ya Cacl...hii imeshaisha.
 
Na hamna aliyekataa kwamba haijafuzu ... ila kuna ambao wanakataa kwamba kilichowapitisha Simba ni kanuni tu na si kwamba wameshinda mechi yoyote ile kwa uwezo waloonyesha uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…