FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Aliyekwambia hatua hii wanaangalia team imeshinda ni nani ?Jifunze football hii ni hatua ya mtoano kinachotakiwa umtoe mpinzani ,kushinda ni makundi ,ulipo shinda ulivuna point ngapi? Na akili yako inakwambia EL MERECK alikuwa home Rwanda? Mpaka ujivunie home and away ?
OK!....tuseme Simba imecheza kimkakati sio?...

hapana tuwe wa kweli tu, bado Simba haijawa na utimamu.
 
Zingatia point mzee.

Wewe umemtoa mpinzani kwa kushinda game gani?? Wapi?? Maana kote umetoa sare.

Wewe umemtoa mshindani kwasababu ya kanuni tu. Kanuni za zama za ujima. Kama ni tofauti, leta hapa game uloshinda dhidi ya huyo mpinzani. Mbona it is quite simple.
Yeye huyo mshindani kashindwa nini kumtoa simba kwa kanuni?
 
Yeye huyo mshindani kashindwa nini kumtoa simba kwa kanuni?
Hajashindwa mechi hata moja, kwa akili yako unaona anastahili kutoka?

Unadhani ni kwanini Ulaya wameondoa hiko kitu? .... obviously ni upuuzi. Mtu hajapoteza mechi, unasemaje katoka?
 
Hajashindwa mechi hata moja, kwa akili yako unaona anastahili kutoka?

Unadhani ni kwanini Ulaya wameondoa hiko kitu? .... obviously ni upuuzi. Mtu hajapoteza mechi, unasemaje katoka?
Kanuni zipo ili zifuatwe, hakuna mashindano yasiyo na kanuni.

Simba imekwisha fuzu hatua ya makundi ya Cacl...hii imeshaisha.
 
Kanuni zipo ili zifuatwe, hakuna mashindano yasiyo na kanuni.

Simba imekwisha fuzu hatua ya makundi ya Cacl...hii imeshaisha.
Na hamna aliyekataa kwamba haijafuzu ... ila kuna ambao wanakataa kwamba kilichowapitisha Simba ni kanuni tu na si kwamba wameshinda mechi yoyote ile kwa uwezo waloonyesha uwanjani.
 
Back
Top Bottom