mtzedi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 5,983
- 6,171
Oya vunga sijakuuliza weweKibwana amuweke Yao benchi? Kwa kipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oya vunga sijakuuliza weweKibwana amuweke Yao benchi? Kwa kipi?
Ungemtumia msg pm basi. Comment ikishakuwa hapa basi ni public. Soma kanuni.Oya vunga sijakuuliza wewe
Tatizo sijui litakua Nini,nakosa mrembo hivi hivi kizembehata me sijui namna ya kufungua nimekua notificated na wengi ila ndo hivyo naishia kusoma namba tu
OK!....tuseme Simba imecheza kimkakati sio?...Aliyekwambia hatua hii wanaangalia team imeshinda ni nani ?Jifunze football hii ni hatua ya mtoano kinachotakiwa umtoe mpinzani ,kushinda ni makundi ,ulipo shinda ulivuna point ngapi? Na akili yako inakwambia EL MERECK alikuwa home Rwanda? Mpaka ujivunie home and away ?
Ila Watu wakikuchoka tabu sana...
Bocco ka struggle mpaka goli limepatikana Lkn wala hawamtaji....!
Shida ni watu hawataki kukubali kwamba kilichowafikisha group stage ni kanuni and not otherwise... [emoji16]
Yeye huyo mshindani kashindwa nini kumtoa simba kwa kanuni?Zingatia point mzee.
Wewe umemtoa mpinzani kwa kushinda game gani?? Wapi?? Maana kote umetoa sare.
Wewe umemtoa mshindani kwasababu ya kanuni tu. Kanuni za zama za ujima. Kama ni tofauti, leta hapa game uloshinda dhidi ya huyo mpinzani. Mbona it is quite simple.
Duuh pole😂😂😂Duh
Tatizo sijui litakua Nini,nakosa mrembo hivi hivi kizembe
hahaha bora ukose msaada ili u-save kibunda, mwisho wa mwaka huu wako busy kusaka maokotoDuh
Tatizo sijui litakua Nini,nakosa mrembo hivi hivi kizembe
Bila kanuni, hamjiwezi au sio? [emoji16][emoji16] Kwani shida nini hamjashinda hata game moja popote pale?Ndiyo, ni kanuni. Zipo ili zitumike
Kumbuka timu iliweka kambi UTURUKIOK!....tuseme Simba imecheza kimkakati sio?...
hapana tuwe wa kweli tu, bado Simba haijawa na utimamu.
Haya umeshinda!Ungemtumia msg pm basi. Comment ikishakuwa hapa basi ni public. Soma kanuni.
Hajashindwa mechi hata moja, kwa akili yako unaona anastahili kutoka?Yeye huyo mshindani kashindwa nini kumtoa simba kwa kanuni?
Kambi ya upotezaji muda.Kumbuka timu iliweka kambi UTURUKI
Ahsante.Haya umeshinda!
Hahahah itabidi nikutumie barua kwa njia ya postaDuuh pole😂😂😂
Kanuni zipo ili zifuatwe, hakuna mashindano yasiyo na kanuni.Hajashindwa mechi hata moja, kwa akili yako unaona anastahili kutoka?
Unadhani ni kwanini Ulaya wameondoa hiko kitu? .... obviously ni upuuzi. Mtu hajapoteza mechi, unasemaje katoka?
Uyu nataka niweke ndani mzee hahahahahaha bora ukose msaada ili u-save kibunda, mwisho wa mwaka huu wako busy kusaka maokoto
Na hamna aliyekataa kwamba haijafuzu ... ila kuna ambao wanakataa kwamba kilichowapitisha Simba ni kanuni tu na si kwamba wameshinda mechi yoyote ile kwa uwezo waloonyesha uwanjani.Kanuni zipo ili zifuatwe, hakuna mashindano yasiyo na kanuni.
Simba imekwisha fuzu hatua ya makundi ya Cacl...hii imeshaisha.
Kila laheri Singida fountain..Wayaaaaaaaaaaaaaaaa