FT: CAFCL: Wydad AC 0 Vs 0 Mamelodi | Stade Mohammed V | Mei 13, 2023

Kwa mpira huu wa Wydad, Itoshe kusema Simba ilitolewa na timu mbovu sana. Na bado wakapongezana eti wamekufa kiume , Kufungwa na timu mbovu kama hii ni usenge uliopitiliza
Mkuu tema mate chini uendelee kisubiri kipiho kutoka Kwa kibonde.Marumo.!
Unasema moto wa kuchoma uwanjani au moto upi ?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile ap

Unasema moto wa kuchoma uwanjani au moto upi ?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Kama ule unaopelekewaga na baba yoyoyo
 
Timu kubwa ipi isiyo na kombe?
 
Wamekutana mara nyingi mwarabu Hana uwezo Kwa mamelod
Wamekutana hatua Gani mkuu??? Al ahly anafungwa na Simba Al ahly anafungwa na Al hilal Al ahly anafungwa na esperance kwenye makundi syo finally Mzee Yule mbwa Hana masihara anapoona kombe na mamelod sundowns akikosa hili kombe inatakiwa ajutie mwenyewe Kwa Nini alimbania Al hilal??
 
Humu nawaona asilimia kubwa wanashabikia mamelodi kwa kuangalia rangi, huu ubaguzi sijui hutaisha lini!!

Hata akipita mamelodi kwa al ahly atapigwa na hamtaamini.,

Al ahly kama kawa kama dawa kombe ni la kwake

Kila la heri wydad casablanca
 
Una maanisha last year ilikuwa imara kuliko hii?

Walichukuaje kama hawakua bora!!

Mamelidi akipita basi amekwisha, al ahly ndio ameingia hivyoo humtoi hata kwa dawa, wenye kombe lao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…