FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

Bila wala rushwa chama,baleke,inonga, kapombe?
Kama mnacheza bila mungu wenu chama hakika namungo watawafilimba vibaya
Mlifikiri mngeweza kututoa kwenye mchezo?
Figisu zote tumezielewa
 
Tutawapiga kama ngoma
Huna timu wachezaji wenyewe wanakabia macho mtampa lawama Matola.

Namungo tunajua mfadhili wake ni shabiki wa Kolo ila kama akisema akaze ushindi wenu droo. Azam na quality yake kala tatu, Yanga kapata goli dk ya 85.

Wewe timu huna,wachezaji hawana fitness/wazee, wakiporwa mpira wanajivuta na ndicho kilicho wafanya mle tano.

Kama kawaida yenu msimu huu cleansheet mnazitafuta kwa tochi kwani una cleansheet mbili tu mechi zote umuruhusu magoli.
 
Acha maneno mengi.
Tukutane kesho uhuru stadium 🏟️
 
Duuh hii ndio Yanga iliyoifunga Simba goli 5, mbona kwa Coastal Union wameishia 1 tu, bila shaka Coastal Union nayo ni timu bora
Shirikisha ubongo na akili kwanza. Timu imetoka kucheza mechi ngumu dhidi ya Simba siku ya jumapili. Wamepumzika siku moja tu ambayo ni Jumatatu kisha jumanne wamesafiri kuelekea Tanga kisha mechi imecheza leo Jumatano. Hao ni binadamu sio maroboti, timu yako iliyopigwa tano imekaa tu Dar halafu mechi yake imepangwa Alhamisi. Lengo lenu la Yanga kupoteza mechi na hao TFF na bodi yenu ya ligi mpaka sasa mmefeli tafuteni mbinu nyingine
 
Back
Top Bottom